John 11:27

27 aMartha akamwambia, “Ndiyo Bwana, ninaamini ya kuwa wewe ndiwe Kristo,
Kristo maana yake ni Masiya, yaani Aliyetiwa mafuta.
Mwana wa Mungu, yeye ajaye ulimwenguni.”

Copyright information for SwhNEN